Monday 25 August 2014

BALAAAAAH SANA: CHEKI PICHA 8 ZA P-SQUARE ZAZUA GUMZO



 
Peter na Paul mapacha wa P Square wanakaribia kutoa album yao ya sita na hivi sasa wametoa picha zao mpya ikiwa ni moja ya promotion kuelekea uzinduzi wa album hiyo.
Kama wewe ni shabiki wa P Square enjoy kucheki hizi picha.

No comments:

Post a Comment