Imetokea Mitaa ya Coco Beach DAR
Imetokea pande za COCO BEACH kuna JAMAA bana aliiba NDINGA kwa BI
MKUBWA wake akaenda nalo BEACH alipofika kwa mbwembwe akamkabidhi DEMU
wake aendeshe kumbe DEMU hajui KUNYONGA bana si akalipandisha milimani
kule kwa mwedo wa kasi akashindwa kufunga breki akaliangusha toka juu
mlimani mpaka chini kwenye yale maporomoko.
Kwa sasa DEMU yupo MUHIMBILI ICU kaumia vibaga sana na mchizi nae
kavunjika MKONO wa kushoto sa sijui alikua anataka kulizuia NDINGA kwa
mikono daaaah Mbwembwe hazifai.
Bi mkubwa alipovutiwa waya alifika fasta eneo la tukio na alipoliona
NDINGA lake lipo kwenye hali ya UCHAPATICHAPATI aliangua kilio kama
kafiwa na mumewe.
NB: Imewekwa kama ilivyotumwa.
CREDIT:GONGMIX
No comments:
Post a Comment