SHILOLE AKIRI KUWA HATUMII CONDOM KWENYE MAPENZI
Mwigizaji wa filamu na mwanamuziki wa miondoko ya kizazi kipya,
Zuwena Mohammed ‘Sholole’ amesema kuwa matumizi ya kondom
wakati wa mahaba hayaleti ladha ndio maana alilazimika kwenda
kupima ngoma na mpenzi wake Nuh Mziwanda ili wasiwe
wanatumia kondom.
Akizungumza na Mpekuzi wetu, Shilole alisema kuwa raha ya mapenzi
ni kila mmoja kuwa na mwenzake bila kuwa na kizuizi chenya
kuondoa ladha hiyo na baada ya kupima kila mmoja ameapa
kutochepuka ili asilite maambukizi ndani ya uhusiano wao….
“Asikudanganye
mtu, raha ya kula ndizi ni kula ikiwa imemenywa, ikiwa na
maganda inaondoa utamu ndio maaa mimi na mwenzangu tulilazimika
kwenda kupima afya zetu na kila mmoja alibainika ni mzima
hivyo tumeahidiana kutosalitiana ili tusileteane maambukizi”,alisea Shilole.
No comments:
Post a Comment