TANZANIA PORTS AUTHORITY
NAFASI YA KAZI YA AUXILIARY /POLICE/ SECURITY GUARD TPOS 2 IDARA YA ULIZI BANDARI YA TANGA
CHEO: AUXILIARY /POLICE/ SECURITY GUARD
NGAZI: TPOS 2
IDARA: ULINZI
JUMLA YA NAFASI: KUMI NA MBILI (12)
KITUO: TANGA
MASHARTI YA AJIRA:
• Mkataba wa ajira Utakuwa usiokuwa na muda maalumu (Endelevu)
• Watakao faulu usaili na kuajiriwa ambao ni wanachama wa mifuko ya hifadhi ya jamii wanaweza kuendeleza michango yao katika mifuko husika.
• Taarifa za siri kutoka sehemu walikokuwa wameajiliwa zitahitajika kabla ya kutia saini mkataba wa ajira.
SIFA ZINZOHITAJIKA KWA WAOMBAJI:
• Awe amefunzu elimu ya sekondari kidato cha IV/ VI na kupata cheti.
• Awe amefunzu mafunzo ya ulizi katika vyombo vinavyotambulika kitaifa kama JKT, POLICE,JWTZ n.k na kufunzu.
• Awe tayari kuwasilisha vyeti kwaajili ya kuvihakakiki uhalali wake kabla ya usaili.
MUHTASARI WA KAZI:
i. Kulinda mali za wateja na za mamlaka Bandarini na katika lindo atakapo pangiwa ili kuzuia wizi, udokozi, uharibifu n.k
ii. Kufanya ukaguzi na magari na watu waingiao bandarini na maeneo mengine ya mamlaka.
iii. Kufanya dolia katika maeneo ya bandari kavu na baharini kadili ilivyopangwa.
iv. Kuchunguza na Kuhakikisha uhalali wa mizigo na nyaraka za kutoa na kupokea mzigo bandarini.
v. Kutoa taarifa za uharifu mara moja kwa msimamizi wa ulinzi.
vi. Pamoja na shughuri nyingine halali zanazoamliwa na mkuu wa kazi mara kwa mara.
UTARATIBU:
Maombi yote yatumwe pamoja na wasifu wa mwombaji (CV) vivuli vya vyeti kwa kutumia anuani ifuatayo:
Mkuu wa bandari,
Mamlaka ya usimamizi wa bandari Tanzania.
P.O.BOX 443,
TANGA.
Waombaji ambao hawataitwa kwenye usaili waelewe kwamba hawakutimiza vigezo vinavyohitajika mwisho wa kutuma maombi ni tar 22 agosti 2014.
( F.J. Liundi)
KAIMU MKUU WA BANDARI.
=========
ALSO AVAILABLE IN DAILY NEWS OF AUGOST 7,2014

No comments:
Post a Comment